Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto (IJA)

Elimu Haki Wajibu

Chuo cha IJA kinapatikana wapi?

Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto (IJA) kinapatikana katika Milima ya Usambara wilayani Lushoto mkoani Tanga.