Kanusho
Kanusho
Angalizo
Tunatoa huduma kupitia nyenzo mbalimbali za umma na binafsi, baadhi yake ziko nje ya udhibiti wetu. Hivyo, Chuo hakitahusika na kuhakikisha ubora wa huduma kwa nyenzo ambazo ziko nje ya udhibiti wake wala hakitahusika na kuhakikisha huduma ulizolipia kuwa zitakuwa kamilifu/zinafanyakazi na kupatikana 100% ya muda wake na hakiwajibiki kwa hasara yoyote itokeapo mfumo utashindwa kutoa kufanya kazi.