Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto (IJA)

Elimu Haki Wajibu

Dira na Dhima

Dira 

Kuwa kinara katika utoaji wa elimu endelevu ya kimahakama na utafiti.

Dhima

Kutoa elimu endelevu ya kimahakama inayozingatia mahitaji na kufanya utafiti wa vitendo.