Paul. F. Kihwelo
Paul. F. Kihwelo

Wasifu
Mhe. Dkt. Paul F. Kihwelo ni Mkuu wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto (IJA) kuanzia mwaka 2016 mpaka sasa na pia ni Jaji wa Mahakama ya Rufani.