Examination Results

Find first Semester Results on Publication Tab on home page of the website and download it or click the links below

NTA LEVEL 6 http://www.ija.ac.tz/uploads/publications/en148838...

NTA LEVEL 5 http://www.ija.ac.tz/uploads/publications/en148838...

NTA LEVEL 4 http://www.ija.ac.tz/uploads/publications/en148838...

APPEALS RESULTS

NTA LEVEL 6 http://www.ija.ac.tz/uploads/publications/en148984...

NTA LEVEL 5 http://www.ija.ac.tz/uploads/publications/en148984...

NTA LEVEL 4 http://www.ija.ac.tz/uploads/publications/en148984...

SUMMARY http://www.ija.ac.tz/uploads/publications/en148984...


TANGAZO

UTARATIBU WA KUKATA RUFAA DHIDI YA MATOKEO YA MITIHANI YA MWISHO WA MUHULA WA KWANZA 2016/207

1.WANACHUO WOTE WA STASHAHADA YA SHERIA (NTA LEVEL 5 AND 6) NA CHETI CHA SHERIA (NTA LEVEL 4) AMBAO HAWAJARIDHIKA NA MATOKEO YAO YA MITIHANI YA MWISHO WA MUHULA WA KWANZA WANARUHUSIWA KUKATA RUFAA DHIDI YA MATOKEO YAO. MUDA WA KUKATA RUFAA UNAANZA TAREHE 02/3/2017 NA KUISHA TAREHE 13/3/2017 SAA 10.00 ALASIRI.

RUFAA ZOTE ZINAPASWA KUWASILISHWA KWA MAANDISHI KWA KATIBU WA KAMATI YA MIPANGO YA TAALUMA NA MITIHANI, S.L.P 20 LUSHOTO KAMA ILIVYOANISHWA KATIKA KIFUNGU CHA 35(3) CHA KANUNI ZA MITIHANI ZA CHUO ZA MWAKA 2015; NANUKUU

“Appeals shall be lodged in writing stating grounds of appeal to the Secretary of the Academic, Planning and Examinations Committee within ten (10) days after the declaration of examinations results by the Academic Planning and Examinations Committee.

2. RUFAA ZOTE ZINATAKIWA KUELEZEA SABABU ZA KUKATA RUFAA KAMA ZILIVYOANISHWA KATIKA KIFUNGU CHA 35(1) CHA KANUNI ZA MITIHANI ZA CHUO ZA MWAKA 2015, NANUKUU

A candidate may appeal to the Appeals Board against examination results on any of the following ground only:

a) prejudice, incompetence or lack of integrity of the internal examiner

b) that there was a material administrative error or a material irregularity in assessment procedures which have made a real and substantial difference to the candidates results

3. ADA YA RUFAA NI TSH. 15,000/= KWA KILA SOMO. RUFAA AMBAYO HAITAAMBATANISHWA NA ADA YA RUFAA HAITASHUGHULIKIWA, KAMA ILIVYOAINISHWA KATIKA KIFUNGU CHA 35(4) CHA KANUNI ZA MITIHANI ZA CHUO ZA MWAKA 2015; NANUKUU

“No appeal shall be accepted for processing unless a prescribed fee for a module appealed against has been paid for and such fee shall not be refunded.”

IMETOLEWA NA:

KATIBU WA KAMATI YA MIPANGO YA TAALUMA NA MITIHANI,

CHUO CHA UONGOZI WA MAHAKAMA,

S.L.P 20,

LUSHOTO.