MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KOZI ZA DIPLOMA NA CHETI CHA SHERIA KWA MWAKA WA MASOMO 2018/19

Majina ya wanafunzi wa NTAL.5 (DIPLOMA YA SHERIA)

-Kuona Majina ya waliochaguliwa kujiunga Diploma ya Sheria kwa mwaka wa masomo 2018/2019, Bofya hapa chini

-http://www.ija.ac.tz/uploads/publications/en1539172664-List%20of%20Verified%20Applicants%20for%20Ordinary%20Diploma%20in%20Law%202018%20SEPTEMBER%20INTAKE.pdf

Majina ya wanafunzi wa NTL.4 (CHETI CHA SHERIA)

-Kuona Majina ya waliochaguliwa kujiunga Cheti chaSheria kwa mwaka wa masomo 2018/2019, Bofya hapa chini

-http://www.ija.ac.tz/uploads/publications/en1539172716-List%20of%20Verified%20Applicants%20for%20Basic%20Technician%20Certificate%20in%20Law%202018%20September%20INTAKE.pdf

MAELEZO YA UJUMLA

(i) Wanafunzi wote walioandikiwa “No multiple” wanatakiwa kuripoti chuoni tarehe 13/10/2018 wakiwa na mahitaji yote yanayohitajika ikiwepo malipo ya Ada.

(ii)Wanafunzi wote ambao mbele ya majina yao inatokea namba, mfano 1, 2, 3 au 4 inamaana waliomba vyuo zaidi ya kimoja, hivyo watatakiwa kuthibitisha kujiunga na Chuo cha IJA kwa...