TANGAZO

KWA WANACHUO WOTE

1.WANACHUO WOTE MNATAARIFIWA KUWA MUDA WA KUKATA RUFAA DHIDI YA MATOKEO YA MITIHANI YA MWISHO YA MUHULA WA KWANZA 2018/2019 NI KUANZIA TAREHE 15/03/2019 HADI TAREHE 24/03/2019 SAA 10:00 ALASIRI.

2.RUFAA ZOTE ZINAPASWA KUWASILISHWA KWA MAANDISHI KWA MKUU WA CHUO, CHUO CHA UONGOZI WA MAHAKAMA,

S.L.P 20 - LUSHOTO.

3.RUFAA ZOTE ZINATAKIWA KUELEZEA SABABU ZA KUKATA RUFAA.

4.ADA YA RUFAA NI TSH. 15,000/= KWA KILA SOMO. RUFAA AMBAYO HAITAAMBATANISHWA NA RISITI YA ADA YA RUFAA HAITASHUGHULIKIWA.

6.WANACHUO AMBAO MATOKEO YAO YAMEZUILIWA WAWASILIANE NA UONGOZI WA CHUO KWA UFAFANUZI.

IMETOLEWA NA:

MKUU WA CHUO

CHUO CHA UONGOZI WA MAHAKAMA

S.L.P 20

LUSHOTO