TANGAZO

WANACHUO WOTE MNATANGAZIWA KUWA,

  • 1.KWA WANACHUO WATAKAOPENDA KUKATA RUFAA DHIDI YA MATOKEO YAO TAREHE YA MWISHO YA KUPOKEA RUFAA NI TAREHE 29/8/2018.
  • 2. MITIHANI YA MARUDIO NA MITIHANI MAALUM (SUPPLEMENTARY/ SPECIAL EXAMS) ITAFANYIKA TAREHE 17/09/2018 – 21/09/2018.

NB. RATIBA YA MITIHANI HIYO ITATANGAZWA KWENYE WEBSITE YA CHUO BAADAE.

OFISI YA MSAJILI

18/08/2018