Mafunzo ya uandishi wa wosia na ununuzi wa ardhi kwa Watumishi wa Chuo
Watumishi wa Chuo wakiwa katika mafunzo juu ya uandishi wa wosia, taratibu za ununuzi wa ardhi na umuhimu wa kuwa na nyaraka za utambuzi zenye taarifa zinazowiana.
Watumishi wanawake IJA
Watumishi wanawake wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto (IJA) wakiwa katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Dunia yaliyofanyika katika kata ya Mlola wilayani Lushoto mkoani Tanga tarehe 08/03/2025
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma akihutubia katika Mahafali ya 24 ya Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto (IJA)
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma akihutubia katika Mahafali ya 24 ya Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto (IJA)m
Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto (IJA)
Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto (IJA)
Mafunzo ya kanuni za Maadili ya Maafisa wa Mahakama.
Mafunzo ya kanuni za Maadili ya Maafisa wa Mahakama.
Chuo Chetu
Ikiwa juu ya Milima ya Usambara katika mji wa kihistoria wa Lushoto ambao awali ulianzishwa na Wajerumani katika miaka ya 1880 na hapo awali ulijulikana kama Wilhelmstal (William's Valley) halafu baadae ukapewa jina la Mfalme Wilhelm II, Chuo cha Uongoi wa Mahakama Lushoto maarufu kwa kifupi kama IJA ni taasisi ya umma iliyoanzishwa mwaka 1999 kwa Sheria ya Bunge, Chuo cha Uongozi wa Mahakama-Lushoto, Sura ya 405 Toleo Lililorekebishwa 2002....
Mr. Roggers N. Cletus is an esteemed alumnus of the Institute of Judicial Administration Lushoto, where he earned his Diploma in Law (DL) in 2010. Currently, he serves as...
Soma Zaidi
Mr. Roggers N. Cletus
Assistant Lecturer at the Institute of Judicial Administration Lushoto
‟
Mr. Peter Memba is an Assistant Lecturer at the Institute of Judicial Administration Lushoto (IJA) and a proud alumnus of the institute. His academic journey began in 201...
Soma Zaidi
Mr. Peter Memba
Assistant Lecturer at the Institute of Judicial Administration Lushoto (IJA)
‟
Hon. Judge Arnold Kirekiano of the High Court of Tanzania began his legal journey in 2002 when he joined the Institute of Judicial Administration Lushoto (IJA) at Diploma...
Soma Zaidi